Alhamisi, 28 Mei 2015

JE UNAFAHAMU UMUHIMU WA SAIKOLOJIA YA ELIMU? SOMA HAPA

Saikolojia ya elimu ni tawi la taaluma ya saikolojia linaloshughulikia masuala ya elimu, tawi hili linachunguza jinsi mwanafunzi anavyojifunza mambo mbalimbali ya kielimu, kijamii na kiutamaduni na namna bora ya kumfundisha. Sasa hebu tuangalie tawi hili lina umuhimu gani? Au kuna umuhimu gani wa mwalimu kujua saikolojia?Umuhimu wa saikolojia ya Elimu1).Hii humsaidia mwalimu kujua tabia za mwanafunzi na kujua ni kwa njia au mbinu gani anaweza...

UMUHIMU WA KUJIFUNZA SAIKOLOJIA

Ndugu wana UDPSA na wengine Makala hii itatusaidia Kujifunza kuhusu Saikolojia. Wengi kati ya watu wanaosumbuliwa na matatizo yanaoitwa ya dunia ni wale wanaopambana na nguvu zao bila kujua. Kwa kutumia akili zao vibaya, hujitesa kwa kufikiri na kutafsiri vibaya matukio ya kila siku yanayotokea duniani. Kwa mfano, tukizungumzia kufa ambapo watu wengi wanaamini kwamba ni jambo baya, kuna wengine wanaona ni zuri ndiyo maana wapo wanaojiua, na...

Get to know The History Wilhelm Wundt

Wilhelm Maximilian Wundt (16 August 1832 – 31 August 1920) Wundt was born at Neckarau,he was a German physician, physiologist, philosopher, and professor, known today as one of the founding figures of modern psychology. Wundt, who noted psychology as a science apart from biology and philosophy, was the first person to ever call himself a psychologist.He is widely regarded as the "father of experimental psychology". In 1879, Wundt founded the first...

PICHA ZA ZIARA YA BACK 2 LIFE SOBER KIGAMBONI

Karibu katika makala hii Iliyoandikwa na Mhariri FUNDU,AHMED Y. Hii ni ziara iliyofanywa huko na Wanafunzi wa Psychology kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam, Walipotembelea moja ya Sober za watu walioathirika na madawa ya kulevya kama Cocain,Heroin,Marijuana na madawa mengineyo ya kulevya. Msafara uliongozwa na Kiongozi mstaau wa Association ya UDPSA Bw.Charles Wisize pamoja na Mwnyekiti wa sasa wa UDPSA Bw.Mshana Goefrey. Kama wanasaikolojia kutoka...

Jumatano, 27 Mei 2015

B. F. Skinner Biography (1904-1990)

B. F. Skinner was an American psychologist best-known for his influence on behaviorism. Skinner referred to his own philosophy as 'radical behaviorism' and suggested that the concept of free will was simply an illusion. All human action, he instead believed, was the direct result of conditioning.In this operant conditioning process, actions that are followed by good consequences are reinforced and therefore those behaviors are more likely to occur...