Karibu katika makala hii Iliyoandikwa na Mhariri FUNDU,AHMED Y. Hii ni ziara iliyofanywa huko na Wanafunzi wa Psychology kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam, Walipotembelea moja ya Sober za watu walioathirika na madawa ya kulevya kama Cocain,Heroin,Marijuana na madawa mengineyo ya kulevya. Msafara uliongozwa na Kiongozi mstaau wa Association ya UDPSA Bw.Charles Wisize pamoja na Mwnyekiti wa sasa wa UDPSA Bw.Mshana Goefrey. Kama wanasaikolojia kutoka katika chuo kikuu cha Dar es salaam tulijifunza mengi tulipotembelea kituo hicho cha watu walioathirika na madawa ya kulevya, moja ya mafunzo hayo ni kujua athari Hasi za madawa ya kulevya kiafya na kwa maendeleo ya jamii kwa ujumla. Sisi kama taifa la kesho la vijana inatupasa kujua kuwa matumizi ya madawa ya kulevya ni adui mkubwa wa maendeleo. Tujaribu kuiasa jamii na vijana wenzetu kuhusu athari za madawa ya kulevya.
kuanzia kulia ni Mhariri wa makala hii Bw.Fundu,Ahmed Y. wa pili ni ndugu Lema, watatu ni Hakika Rashid na wanne ni Karia Peter wote kutoka katika chuo kikuu cha dar es salaam
baada ya msafara ilitupasa kuwaaga na kuondoka katika makazi yetu
iko poa sana
JibuFutaNaomba kufahamu zaidi kuhusiana na huduma zinazotolewa na kituo hicho. Kama mafunzo yanayotolewa happy kituoni, dawa- detoxification kwa kuanzia siku za mwanzoni usalama wa hao vijana, kwamba akingia hawezi kutoka au kutoroka mpaka amalizie muda wake no. Bei ya kakaa kituoni nk
JibuFuta